Luke 18:14

14 a“Nawaambia, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu zaidi ya yule Farisayo. Kwa maana yeyote ajikwezaye atashushwa, na yeyote ajishushaye atakwezwa.”

Isa Awabariki Watoto Wadogo

(Mathayo 19:13-15; Marko 10:13-16)

Copyright information for SwhKC